Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HII NDIO NYUMBA NA GARI ANAYOMILIKI RICH MAVOKO...CHEKI PICHA HAPA.

HII NDIO NYUMBA NA GARI ANAYOMILIKI RICH MAVOKO...CHEKI PICHA HAPA.

Muziki wa bongoflava sasa hivi umekua kazi rasmi na vijana wengi wanabadilisha maisha yao na kuyaweka kwenye level kubwa zaidi ya kiuchumi kutokana tu na show, mauzo ya nyimbo kwenye simu za mkononi pamoja na biashara nyingine.
Rich Mavoko yule staa wa ‘will you marry me’ ameongea na millardayo na kusema “Nyumba ipo Morogoro kwetu lakini baada ya kuweka wazi hizi picha mama yangu aliniambia nisifanye tena hivyo, kikubwa zaidi kanambia nisiwe na maisha ya matangazo kwanza nyumba yenyewe bado inamaliziwa so kwasasa hivi sipo tayari kuelezea sana kuhusu nyumba lakini ikiwa tayari wasomaji 
 Nyumba ya Rich Mavoko inamaliziwa kujengwa huko Morogoro na maneno yake mengine ni kwamba ‘Natakiwa niseme asante kwa watanzania wote.. maana bila nyinyi nisingepata haya mafanikio”. mavoko3
mavoko2
mavoko1

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa