Tusker project fame mashindano ambayo yamewahi kuwapa ustaa wasanii kama Hemed PHD wa Tanzania yamefikia hatua ya washiriki kukaa kwenye academy ambapo matumaini ya Watanzania kufanya vizuri kwenye mashindano haya yapo mikononi mwa watu wanne.
Watu wenyewe ni Angel, 23 yrs, Hisia 21 yrs, Tanah 21 yrs na Dubson 25yrs, unaweza kufatilia show ili ujue jinsi ya kuwapa support Watanzania hawa mtu wa nguvu ambao wako kwenye list ya zaidi ya wasanii 15 kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki.