Kutana na mwanamama floralymo ni mtanzania anyeishi nje ya nchi ambaye yuko kwenye "SERIES" ya kupiga a picha za nusu utupu na kuziweeka kwenye blog yake...Hizi ndizo picha zake na manaeno aliyoandika juu ya picha husika....Twende tuone hapo chini
NAFANYA YANGU 'FANYENI YENU JAMANI''' AU HAMNA VIFAAAAAAAA? NAWEZA KUKUPA PIA''BADALA YA KUVIMBA VIDOLE KUNIANDIKENI UPUUZI KWENYE VIBLOGNUKA VYENU NA MITANDAO YOTEE ILONIANDIKA UCHAFU WAO'' THIS IS FOR NYIE WOTE HATERS 'R.I.P. HETER'S WA FLORA LYIMO a.k.a THE ONE AND ONLY TOP IN TOWN FLORA LYIMO FASHION POLICE' DESIGNER ,TRADER ,PHOTOGRAPHER AND BLOGGER !! HABARI YA MIJI MIKUU NDIYO HIYO '''LOOK SEXY 'FEEL SEXY 'MBUTA NANGA!!
YOU CAN SAY WHAT YOU WANT ''' NGAAMUO NDAO '' MOKYESUKONYO CHI'INYI PFO'' WACHENI WIVI '' MWILI NI WANGU HATA NIKIWA YOTE MNAYONISEMEA '' SIBADILIKI NA NDIYO NAZIDI KUENGEZEKA'' MTAVIMBAJE VIDOLE ?MAANA THIS IS IT FOR LIFE'' HAHHAHAHAAAA'''IM SEXY AND I KNOW IT''
NACHEZAJE SASA''UWIIIIIIIII''JAMANI HAKUNA KIZURI KAMA KUKUWEPO HOME ''LOOKING SEXY ,FEELING SEXY AND DO WHAT MAKE YOU FEEL SEXYYYYYYYYYY"
IN LOVE WITH FLORA LYIMO SEXY PHOTO'S HAHHAHAHAAA''MBUTA NANGA MONOKO LYIMO '' WATAHESABUJE MIGUU YA NYOKA!!!
WHATTTTTTTTTTT''KYIKYI NDAO ''''''
MWANAMKE KUJIANI '' NA FLORA LYIMO ANAJIAMINI NA ANAMVUTOOOOO'''''
JARIBU HII ''NA USIKOSE KUNITUMIA PICHA ZAKO PLEASE''' CHEZEAAAAAAA!!
KAMA NILIVYO WAAHIDINI ''KILA WIKI NITAWAWEKEENI NEW SEXY PHOTO'S OF FLORA LYIMO ''THE TOP IN TOWN KIBOKO YA HATERS'''' AHADI NI DENI SIMNALIJUA HILO EEE'' SASA SINA DENI LA MTU NA SITAKI MADENIIIIIIIIIII''''NAFANYA YANGU NIPENDAYO '''
DONT YOU WISH ''''''''YES YOU DOOOOOO''YOU DOOOO'YOU DOOOOOOOOYAH!!!
VUA ZOTE TUPA KULE............BRING THE LADY GAGA MUSIC ONNNNNN ''' NOW LET'S DANCE BABY '''KAMATAAAAAAAAAAAAAAAA!!!
BORN THIS WAY'' WENYE WIVU KASAGENI CHUPA MNWEEEEEEEE KUDADAMBIVUUUUUUUUUUUUU!!
BORN THIS WAY'' WENYE WIVU KASAGENI CHUPA MNWEEEEEEEE KUDADAMBIVUUUUUUUUUUUUU!!
MTANZAMO WA MWANDISHI:
Je ni sahii kwa huyu mwanamama wa makamo kupigapcha kama hizi mbele ya bendera ya TANZANI akiwa yuko nusu Utup...?
Mdau wewe unaonaje..!?