Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » Diamond aliponda PENZI la Penny na Wema Sepetu na kudai ni la UONGO.....Kama vipi, wamwache maana hana njaa ya penzi

Diamond aliponda PENZI la Penny na Wema Sepetu na kudai ni la UONGO.....Kama vipi, wamwache maana hana njaa ya penzi

 
Diamond Platnumz hataki kusikia cha Team Wema wala cha Team Penny, wote anawaona wale wale tu wenye mapenzi ya uongo  na  kama  vipi  wamuache  maana  hana  njaa  ya  penzi.
 
Staa huyo wa  bongo  fleva  ambaye bado yupo nchini China, ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akimpongeza ndugu yake kwa kupata mtoto.
 
 
Naye Wema Sepetu jana amerejea Dar akitokea Hong Kong ambako alikuwa kwenye mapumziko ya muda  ambako  alikutana na Diamond kukumbushia penzi lao.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa