Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa tindikali ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba na kumjeruhi sehemu ya uso na mwilini.
Home
»
mtaa kwa mtaa
»
VIDEO YA PADRI ANSELO MWAN'GAMBA BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI...

