Hili  ni  tukio  la  kusikitisha, lakini  lenye  mafunzo  ndani  yake....
Tukio  hilo  lilitoke  mwanzoni  mwa  mwezi wa  nane  mwaka  huu ndani   ya  kanisa  la Pentekoste  la  nchini  Kenya  ambapo  wanandoa  wawili     walikuwa  wakila  kiapo  cha  maisha  mbele  ya  mchungaji  wa  kanisa  hilo....
Dakika  chache  kabla  ya  wanandoa  hao  kuapishwa  na  kuruhusiwa   kuvishana  pete, Mchungaji  wa  kanisa  hilo   aliwauliza  waumini  kama   kuna  yeyote  mwenye  pingamizi  la  kufungwa  kwa  ndoa  ya  wapenzi   hao...
Baada  ya  swali  hilo, mwanamke  mmoja  alisimama  na  kuelekea  mbele  ya  kanisa  hilo  huku  akiwa  na  vyeti  mkononi....
Alipomkaribia  mchungaji, mwanamke  huyo  alipaaza sauti  yake  na   kusema  kuwa  ndoa  hiyo  haistahili  kufungwa  kwa  sababu  yeye  na   bwana  harusi  wanamtoto  waliyemzaa  pamoja  na  kwamba  walikuwa  na   mipango  ya  kuoana....
Kilichoendelea  baada  ya  hapo  ni  VITUKO... 
Tazama video hapa chini...
Tazama video hapa chini...
HII NDIO DAWA...sasa uyo ni Mchungaji aliyekua anaoa......

 

 
 
 
 
 
