Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » RAYUU TENA AACHIA PICHA ILIYOONYESHA TATUU YAKE JUU YA MAKALIO.....AJISIFIA KAICHORA KWA BEI MBAYA.

RAYUU TENA AACHIA PICHA ILIYOONYESHA TATUU YAKE JUU YA MAKALIO.....AJISIFIA KAICHORA KWA BEI MBAYA.

AKIONGEA NA MTANDAO HUU WA PAPARAZI  RAYUU KASEMA TATOO HIYO ILIYO CHORWA  KUZUNGUKA KIUNO KIZIMA IMEMGHARIMU KIASI CHA TSH.LAKI TATU NA ZAIDI.


NI TOFAUTI NA TATOO ZINGINE KAMA YA SHINGONI NA KWENYE BEGA AMBAZO ZOTE NI CHINI YA HIYO BEI....

MTAZAMO
wewe kama mdau ,kwa huyu msichana mdogo ..Je ni sahii kufanya hiki alichokifanya..?

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa