Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » POLISI YAMKAMATA MWANAJESHI FAKE AKIWA NA SARE ZA JWTZ HUKO KIGAMBONI

POLISI YAMKAMATA MWANAJESHI FAKE AKIWA NA SARE ZA JWTZ HUKO KIGAMBONI


                  Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salam limemkamata  Saida Mohamed huko Kigamboni akiwa na sare mbalimbali za jeshi la wananchi .


Kamishna wa kanda hiyo Suleiman Kova amesema katika tukio lingine  jeshi hilo limefanikiwa kuzima jaribio la wizi katika kampuni ya fast jet baada ya kunasa mawasiliano ya mtandao wa majambazi na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo

-ITV
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa