Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA ZA UPOKEZI WA AZONTO JIJINI DAR

PICHA ZA UPOKEZI WA AZONTO JIJINI DAR

MMwanamuziki ODG Maarufu kwa jina la Azonto akiwa ndani ya ulinzi mkali 
Azonto kulia akiwa na na baunsa wake huku msanii wa Bongo Muvie Manaiki Sanga "the don" akitoa maelekezo kwa mwanamuziki huyo ndani ya Hotel ya JB BELMOND alipofikia mwanamuziki huyo
Msanii wa Bongo Muvie Prince Kas ambae yuko kwenye kamati ya mapokezi ya mwanamuziki huyo asubuhi ya leo kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa Da'salam
Manaiki Sanga "The Don" ambaye yuko kwenye kamata ya ujio wa mwanamuziki Azonto akiwakaribisha wageni hao leo asubuhi.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa