Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MUHUBIRI AHUBIRI ZAIDI YA MASAA MATATU PASIPO WAUMINI MABIBO DAR

MUHUBIRI AHUBIRI ZAIDI YA MASAA MATATU PASIPO WAUMINI MABIBO DAR

                                      Akitwanga  injili.
     Mhubiri wa injili akitoa neno pembeni ni viti kwa ajili ya waumini japo hakuna aliyejitokeza.

               Akielezea umuhimu wa kumtukuza bwana.
hivi karibuni Mhubiri injili ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha ibada ya maombi na kushusha neno la Mungu, pande za Mabibo Sokoni  katika eneo la wazi zaidi ya masaa matatu pasipo mtu yoyote kujitokeza kumsikiliza. Watu wengi waliokuwa wakipita eneo hilo hawakuweza kumwelewa mtumishi huyo anayetoka Kanisa la Pentekoste Injili Tanzania.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa