Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MASHOGA WAZIDI KUOKAKA, AUNT ASU AACHANA NA USHOGA NA KUAMUA KUOKOKA...CHEKI PICHA ZA KABLA NA BAADA YA KUOKOKA

MASHOGA WAZIDI KUOKAKA, AUNT ASU AACHANA NA USHOGA NA KUAMUA KUOKOKA...CHEKI PICHA ZA KABLA NA BAADA YA KUOKOKA


Anti Asu alikwenda katika kipindi cha Dida MITIKISIKO YA PWANI na kueleza kua ameamua kumfuata Mungu na kuokoka kabisa. Tazama hapa alivyokuwa mwanzo katika picha alizoleta watu watazame wakati akiwa shoga kabisa.

Hapa baada ya kuokoka..
Chanzo Dida mitikisiko blog.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa