Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » KASSIMU MGANGA NA CHIDY BENZI WASHIKANA UCHAWI NA KUFURUMUSHIA MATUSI .....SIKILIZA KICHUJIRI WAKATI WA UGONVI

KASSIMU MGANGA NA CHIDY BENZI WASHIKANA UCHAWI NA KUFURUMUSHIA MATUSI .....SIKILIZA KICHUJIRI WAKATI WA UGONVI

Msanii wa kubembeleza KASSIMU MGANGA na Msanii wa Hip hop CHIDY BENZI ndani ya mkunjano wa masharti na kushikana uchawi baada ya chidi benzi
kumuita KASSIMU MGANGA  kuwa yeye ni Shog* na na pia mchawi na ..
KASSIMU nae akacha kubembereza akawa Muhuni na kuanza kumwaga mvua ya matusi na kuwmwaga sira za ndani za chidi benzi "CHIDI BENZI UNAVUTA UNGA"..

Mwisho wa siku Ngumi mkononi na vitisho na watu kugombelezea(Hawa mnawaacha tu)...

SIKILIZA HAPA CHINI


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa