Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » IZZO BIZNESS APATA AJALI MBAYA AKIELEKEA AIRPORT MWANZA....

IZZO BIZNESS APATA AJALI MBAYA AKIELEKEA AIRPORT MWANZA....

Haya ni Maneno ya Izzo
Tumepata Ajali Mbaya Eneo la MSITUNI wakati tunatokea GEITA kwenye Show kuelekea Airport MWANZA...Tunamshukuru Mungu Tupo salama...Pole kwa brother Philbert KABAGO kwa kuumia maeneo ya Pembeni ya Jicho lake...Get well soon bro...Mungu ni Mwema
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa