Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HII NDIO NYIMBO YA DAYNA ALIODAI KUIBIWA NA DIAMOND "MY NUMBER ONE"...

HII NDIO NYIMBO YA DAYNA ALIODAI KUIBIWA NA DIAMOND "MY NUMBER ONE"...

Huu ndio wimbo wa  Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one.Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.
 SIZIKILIZE NYIMBO ZOTE HAPA CHINI



MY NUMBER ONE YA DIAMOND
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa