Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » CLOUD 112 ATOA SABABU ZA MAINDA KUSAHAHULIKA KWENYE TASNIA YA FILAMU..

CLOUD 112 ATOA SABABU ZA MAINDA KUSAHAHULIKA KWENYE TASNIA YA FILAMU..

Cloud 112

MKALI wa sinema za Kibongo, Mussa Issa ‘Cloud 112’ amemchana mwigizaji Ruth Suka ‘Mainda’ kuwa stori nyingi za filamu nchini haziendani na Mainda na kudai ndiyo sababu za staa huyo kupotea. 
 Ruth Suka ‘Mainda’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Cloud 112 alisema maprodyuza wanashindwa kumchezesha Mainda katika ngazi muhimu kama ya mke kwani stori zinakuwa zinahitaji watu wenye umbo kubwa.
“Stori nyingi zinamkataa Mainda, mfano mimi siwezi kuigiza naye kama mke na mume kwani umbile lake na langu haliendani hivyo natoa wito kwa wasanii kumsaidia Mainda sababu ana uwezo mkubwa wa kuigiza,” alisema Cloud 112.

- GPL


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa