Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WEMA SEPETU JINSI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU KUU YA EID

WEMA SEPETU JINSI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU KUU YA EID

                                                                 WEMA SEPETU
Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa