Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WANAWAKE WAENDELELEA KUJIZARIRISHA KWA WASANII...."HUYU NDIYE MSICHANA ANAYEJITANGAZIA NI MPENZI WA TINO HUKU TINO AKIMKANA......"

WANAWAKE WAENDELELEA KUJIZARIRISHA KWA WASANII...."HUYU NDIYE MSICHANA ANAYEJITANGAZIA NI MPENZI WA TINO HUKU TINO AKIMKANA......"

PICHA ya staa wa filamu, Hisani Muya ‘Tino’ na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Hellen mkazi wa Arusha imezua utata ikidaiwa kuwa wawili hao huenda wakawa na uhusiano. 
Hisani Muya ‘Tino’ katika pozi tata na msichana aliyetajwa kwa jina moja la Hellen.
Chanzo kilichoipenyeza picha hiyo kimeitonya Stori 3 kuwa, Hellen aishiye jijini Arusha amekuwa akiwatambulisha mashosti zake kuwa wana uhusiano wa karibu sana na staa huyo ndiyo maana amekuwa akihifadhi picha nyingi walizopiga naye kimahaba.
Alipotafutwa Tino kuhusiana na picha hiyo, alidai hakumbuki kama ana mchumba aitwaye Hellen isipokuwa alikiri kupiga picha nyingi za kimalovee na wanawake tofauti.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa