Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIDEO YA JESHI LA POLISI MOROGORO WAKIKANUSHA KUMPIGA RISASI SHEIKH PONDA

VIDEO YA JESHI LA POLISI MOROGORO WAKIKANUSHA KUMPIGA RISASI SHEIKH PONDA

Jeshi la polisi mkoani Morogoro limekanusha madai ya kuhusika na kumpiga risasi begani, katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini, sheikh Ponda Issa Ponda, na kwamba iwapo sheikh huyo anaamini kufanyiwa hivyo, ajitokeze na kuthibitisha kauli hizo ambazo zimeendelea kutolewa na wafuasi wake.

CHEKI VIDEO HAPA CHINI...


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa