Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tungini - Chanika, Salehe Kitwana akiwa katika ofisi yake bila wasiwasi.
wiki hii imelinasa jengo la ofisi ya serikali ya mtaa wa Tungini - Chanika jijini Dar es Salaam likiwa na ufa mkubwa ukutani huku viongozi wake wakilitumia jengo hilo bila ya kuwa na wasiwasi wowote jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.
