Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA ZA MADIWANI 8 WA CCM AMBAO WALIFUKUZWA KAZI NA KUREJESHWA TENA KAZINI MKOANI BUKOBA

PICHA ZA MADIWANI 8 WA CCM AMBAO WALIFUKUZWA KAZI NA KUREJESHWA TENA KAZINI MKOANI BUKOBA


       Diwani Alexander Ngalina wa Kata Buhembe na Naibu Meya
            Diwani Richard Gaspar wa Kata ya Miembeni na mjumbe mkutano mkuu wa Taifa wa CCM
             Diwani  Dauda Kalumuna wa Kata ya Ijuganyondo
              Diwani Samweli Ruangisa  wa kata ya Kitendaguro
                 Diwani  Deusdedith  Mutakyawa kata Nyanga
   Diwani  Yusuf Ngaiza wa kata ya Kashai na mwenyekiti wa CCM Bukoba mjini
               Diwani Robert Katunzi wa kata ya Hamugembe
    Diwani Murungi Kichwabuta wa viti maalum na mjumbe baraza kuu la Taifa la wanawake

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa