Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA NA VIDEO YA SHEKHE PONDA AKIWA HOSPITALI BAADA YA KUJERUHI KWA RISASI JANA MOROGORO

PICHA NA VIDEO YA SHEKHE PONDA AKIWA HOSPITALI BAADA YA KUJERUHI KWA RISASI JANA MOROGORO


Sheikh Ponda akiwa katika hospitali ambayo haitajwi jina lake anakoendelea na matibabu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa alipigwa risasi jana akiwa mjini Morogoro alikokuwa ahutubie kwenye mhadhara wa kidini.
Begani ni mahali ambako inaelezwa kuwa risasi hiyo ilimpata


Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa