Maafisa wa filamu mjini Mombasa wameanzisha msako mkali dhidi ya wanaoendeleza biashara haramu ya sinema au filamu za ngono. Katika siku ya kwanza ya msako wao wamenasa baadhi ya washukiwa wanaodaiwa kuuza video hizo na wanaolengwa sasa ni maeneo ambako sinema hizo zinarekodiwa
Home
»
mitaa ya mbele
»
MSAKO MKALI WA KUKAMATA WAUZA FILAMU ZA NGONO WAENDESHWA NCHINI KENYA