Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MREMBO AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA 9

MREMBO AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA 9

Jalissa D. Baez mwenye umri wa miaka 19 mwangalizi wa
watoto huko Berks Pennyslvania,anatuhumiwa kwa kesi

ya kufanya mapenzi na mtoto wa kiume mwenye miaka 9
ambaye aliajiriwa kumwangalia.

Jalissa amerudia mara nyingi kulala na mtoto huyo kwa miezi kadhaa,akimlazimisha kufanya nae mapenzi.

Pia alimfanya mtoto huyo ahaidi kutosema siri hiyo.
Jalisa aliajiriwa na baba wa mtoto huyo kumwangalia mida ya jioni wakati yeye yuko kazini.

Jalissa alimlazimisha mtoto huyo katika mazigira tofauti tofauti
kati ya machi na juni wakati yuko peke yake akimuangalia.

 Alimnyamazisha mtoto huyo kwa miezi
akimwambia kwamba kinachotendeka ni siri na ataingia matatizoni kama atamwambia mtu yeyote,alisema mpelelezi Michael J. gombar.

Alipohojiwa na polisi , Jalissa alikiri kwamba ni kweli
alikuwa anafanya mapenzi na mtoto huyo wa miaka 9
kuanzia machi hadi june mwaka jana.

Baba wa mtoto huyo aliwataarifu polisi ambao walianza
upelelezi. baada ya muda wa miezi sita ambao waliacha
kibali cha kumkamata katika nyumba ya mama yake
Jalissa Baez iliyoko block ya 300 mtaa wa Milller mwezi
uliopita ambapo amekumbana na kesi zingine ikiwemo
kulazimisha mapenzi kwa mtoto, shambulio la
aibu,kuhatarisha ustawi wa watoto na kujidhalilisha.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa