Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MADAM RITA KUMFUNGULIA KESI NEY WA MITEGO KUTOKANA NA KUMPONDA KATIKA NYIMBO YA SALAM ZAO....

MADAM RITA KUMFUNGULIA KESI NEY WA MITEGO KUTOKANA NA KUMPONDA KATIKA NYIMBO YA SALAM ZAO....




Baada ya Ney Wa Mitego kutoa Track ya Salam Zao, Kuna tetesi Kuwa Muandaaji wa BSS Madam Rita anampango kumfungulia Kesi ya Madai Ney wa Mitego kwa Kumchafua (Defamation) kwani eti alisema Madam Rita huwa hatoi zawad anazoziahidi kwa washindi wa shindano lake la kusaka Vipaji, Je Kama ni kweli kuhusu Kesi hii Ney wa mitego ataweza kulipa milioni 500? Tayari msanii huyo amesema yuko tayari kwenda mahakamani na ataweka mwanasheria wa kumtetea.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa