Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » JE NI KWELI WALIO ISHI NJE YA NCHI (WABEBA MABOKSI) WAKIRUDI BONGO HUFANIKIWA SANA KIMAISHA?

JE NI KWELI WALIO ISHI NJE YA NCHI (WABEBA MABOKSI) WAKIRUDI BONGO HUFANIKIWA SANA KIMAISHA?

For a longtime, nimekuwa najaribu kutafuta shortcut and a figure out a way ya kutoka kimaisha! Sio kutoka hela ya mboga, kutoka kutoka kweli! Sasa nimejikuta nastudy sana watu na circumstances. Nimetokea ku review sanaa watu waliotoka (Ukijua mwenzio ametoka vipi you are half way) walipitia njia zipi? What was there turning point? Na vitu kama hivo. 

Katika study yangu nimegundua watu wengi WALIO MAKE THINGS HAPPEN WANA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA NA BOX (Wengine hawakurudi na vyeti so tuna assume hivi) ZA UNYAMWEZINI AMA SHULE YA MBELE HUKO AU HATA KUBANA TU KWA NDUGU ZAO UGHAIBUNI KWA MDA FLANI!

Sio siri wakirudi baadhi yao wanakuwa Exposed kwenye mambo mengi sanaa, Ability yao ya kupata logic kwenye vitu inakuwa juu! Na problem solving capacity yao inakuwa ASTONISHING! Yaani mtu anafanya vitu hadi unabakia . Kikubwa wanakuwa na UTHUBUTU WA HALI YA JUU SANAA!!!!!! Wanashika pesa wadogo sanaaa! Hata mkiajiriwa nae huwezi ku compete nae kwenye creativty

Wachache maarufu ambao wanatengeneza mpunga mrefu mnooo ambao hata uajiriwe wapi huipatai maisha yako (with the exception of UN, IMF and WORLD BANK) ni

1. Joseph Kusaga, aliishigi U.S, L.A alivorudi ndo clouds wakaisuka! Saivi wako na bizz nyingi sanaa. Primetime tu akimdondosha mwanamziki mmoja PESA YAKE NI NDEFUUU hata asipofanya kazi mwaka mzima!
2. Ruge Mutahaba, nae clouds.
3. Emelda Mwamanga aliishi hapo Bondeni, S.A, Bang na dare to dream ni nomaaa.
4. Kelvin Twisa, poteza mbaya 1st class za UDSM na Mzumbe
6. Amina Marcel Plumer, Amina designs
5.Frank Gonga (Ile hela anayopata ya white party japo ni once/yr ni ndefuuu afu haina jasho)
6.Rita Paulsen, event moja ya BSS hafanyi kazi mwaka mzima, jinsi inavomlipa!
7. Wema Sepetu aliishi U.S (Reality show yake za chini ya kapeti zinasema kalamba mkwanja nomaaa toka kwa kampuni flani hivi.)
8.Ongezea wewe

Hapa nimetaja wale wa KAWAIDA HAWANA MIJICHETI YA KUTISHA YA PHD ila wana make a difference kwenye sekta walizopo na wameweza kujibrand. Wame make things happen big time kwa ujanja ujanja tu wa mjini.

I aint saying vya nyumbani ni vibaya ama havina viwango noooooooo! But hawa wenzetu wamethubutu na wameweza na wamejitajirisha si kidogo ilihali sisi wa hapa hapa tunawaangalia! Nyumbani bana unaweza kuta mtu ana PHD analipwa 3m karizikaaaa beyond kurizikaaa! Ila hawa wababa box somehow naowajua mimi THEY ALWAYS LOOK AT THE BIGGER PICTURE!!!!!!! Na hawariziki ng'oooooooo kama Joe! @ team Anaconda!!! But its good to be a CAPITALIST at imperial times like these.

Huo ni mtazamo wangu juu ya mambo mjini hapa! Sijui nyie mwaonaje!

Source:Jamii forums
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa