Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » INJINI YA NDEGE YAZIMA, 7 WANUSURIKA KIFO

INJINI YA NDEGE YAZIMA, 7 WANUSURIKA KIFO

                 
Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani. Ndege hiyo ilikuwa na abiria sita na rubani mmoja ambapo wote wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu.
Chanzo: ITV
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa