Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » HUYU NDIYE TRAFIKI FEKI ALIYEDAKWA JIJINI DAR LEO

HUYU NDIYE TRAFIKI FEKI ALIYEDAKWA JIJINI DAR LEO

 Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa. Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.
Afande huyo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchana wa leo akila vichwa maeneo ya Kinyelezi Mnara,Tabata jijini Dar es Salaam.Askari huyu feki amefikishwa kwenye Kituo cha Polisi Stakishari ili taratibu za kisheria ziweze kuchukuliwa juu yake.


Afande huyo akiwa Kituo cha Polisi Stakishari.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa