Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , , » HII NDO KAULI YA ZITTO KABWE KUHUSU SHEIKH PONDA KUPIGWA NA RISASI MOROGORO

HII NDO KAULI YA ZITTO KABWE KUHUSU SHEIKH PONDA KUPIGWA NA RISASI MOROGORO

 
Kupitia mtandao wa facebook...Mh zitto kabwe alisema haya juu sheihh ponda kupigwa risasi..
Na nukuhu "Habari zinazidi changanya ,Napata taarifa kwamba sheikh ponda ni mzima ila ana majeraha makubwa ya risasi alizopigwa na polisi.Kwa hali yeyote ile ninazidi kushauri kwamba haya ni majaribu na kuna haja ya kuwa watulivu sana.Kitendo cha polisi kutumia risasi za moto dhidi ya raia ni kitendo cha kulaaniwa sana".Mwisho wa kunukuu.


HIKI NDICHO KILICHOANDIKA KWENYE ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK
 
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa