Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , » VIDEO YA MABESTE NA LISA WAKIMTAMBULISHA MTOTO WAO "KENDRICK"

VIDEO YA MABESTE NA LISA WAKIMTAMBULISHA MTOTO WAO "KENDRICK"

Hii ni video inayomuonesha rapper Mabeste akiwa na mchumba wake Lisa wakiongea kwa mara ya kwanza baada ya kupata mtoto wao wa kwanza jana, Kendrick. Kwenye video hii, Mabeste anasema wamempa jina hilo mtoto wao kwakuwa mama yake (Mabeste) anampenda sana rapper wa Marekani, Kendrick Lamar.



 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa