Aunt Ezekiel na Ester Bulaya wakizichapa ulingoni.Mhe. Ester Bulaya ndani ya ulingo.
Aunt Ezekiel akijiandaa kabla ya kuanza pambano dhidi ya Mbunge Ester Bulaya.Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto).Napo hapakupatikana mshindi..iliishia 5-5 kati ya Mbunge Ester Bulaya (kulia) na muigizaji Aunt Ezekiel