Huyo Mtoto Hapo anaitwa LISA ni mtoto wa Pro Jay na MAMA yake ni huyo aliyejifunga kanga
Ongeza kichwa |
Mdogo wake Prof Jay Alex Haule (SIMPLE X) Akiweka udongo katika kaburi la mama yake
BABA MZAZI WA PROF JAY MZEE HAULE
Prof jay Akiwa na Dada yake
Baba Mzazi wa Prof JayMzee Haule alianza kwa kuweka shada la maua lenye alama ya Msalababa, Kisha wakafata watoto wa marehemu Ambapo alianza dada mkubwa, akafata Prof Jay na kumalizia simple X
Mtoto mkubwa wa maremu akiweka shada la ua lenye alama M Juu ya kaburi la mama yake, katika makaburi ya Kinondoni
Mtoto wa pili wa Marehemu Joseph Haule (Prof Jay) Akiweka shada la Maua juu ya kaburi la mama yake lenye alama O
Prof Jay akisali na kupeleka Dua mbele za Mungu Mara baada ya kuweka Shada la maua katika kaburi la mama yake
Mtoto wa Tatu wa Marehemu Alex Haule (Simple X) akiweka shada la maua katika kaburi la mama yake lenye alama M
Baada ya Dada mkubwa kuweka Shada lenye Alama M nakisha Prof kuweka Alama O na kumaliziwa na Simple X kuweka alama M likapatikana neno MOM juu ya kaburi la mama yao Rosemary Majanjala
Jaydee alipata nafasi ya kuweka shada la maua kama rafiki mkubwa wa Prof Jay
Kaka na wadogo wa Prof Jay walio changia Baba wakiweka mashada ya mau juu ya Kaburi