
Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo.
Serikali imesema kupigwa deki kwa barabara ya Morogoro hadi Ubungo Tanesco kutokea mjini hakuna uhusiano na Ujio wa Barack Obama!!

