Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , , , » NYOTA YA ELIZABETH MICHAEL "LULU" YAANZA KUNG'AA ......SASA ACHUKUA TUZO YA MUIGIZAJI BORA WA KIKE

NYOTA YA ELIZABETH MICHAEL "LULU" YAANZA KUNG'AA ......SASA ACHUKUA TUZO YA MUIGIZAJI BORA WA KIKE


Zanzibar Filim Festival bado inaendelea na msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amejikuta mwenye furaha tele baada ya kushinda tuzo ya Best Actress in Swahili Film kupita movie ya Woman of Principles ya RJ Company. Movie hiyo ambayo imeigizwa na Ray,Nagris Mohamed na Lulu mwenyewe, ilifanya vizuri mwaka jana na ni ilipata nafasi ya kuingia kwenye tuzo hizi za ZIFF. ZIFF ni tamasha kubwa sana  Africa nzima huku likiwa kutanisha wadau mabalimbali wa filamu, inaonekana hii itakuwa ni kick ya Lulu kufunguka kimataifa zaidi baada ya kupata platform kama hii.
lulu
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa