Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » MR BLUE ATOROKA HOTELINI KISA DENI LA SH 40,000.STORI KAMILI HII HAPA

MR BLUE ATOROKA HOTELINI KISA DENI LA SH 40,000.STORI KAMILI HII HAPA

Kupitia Kipindi cha Redio cha clouds fm U heard ya jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi..... 
Msikilize Gossip Cop hapo chini



 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa