Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » “MBEGU ZA KIUME ZINANG’ARISHA MENO” -IVONNE OKORO

“MBEGU ZA KIUME ZINANG’ARISHA MENO” -IVONNE OKORO


Muigizaji mashuhuri toka Nollywood/Ghollywood aitwaye Yvonne Okoro hivi karibuni amekuwa kwenye majibizano makali na kupitia mtandao wa twitter mara baada ya kuandika maneno yenye mtazamo wa kingono.
Muigizaji huyo wa Nollywood/ Ghollywood akijiamini aliandika kwenye twitter akisema “Njia nzuri ya kuyafanya meno ya mtu kuwa meupe ni mbegu za kiume”.

Kama ilivyotarajiwa, mashabiki waliitafsiri tweet hiyo kwenye kiwango kingine, wakianza kumshambulia na kumuita role modo mbaya.
Na gafla akakimbilia kujilinda kutoka kwa mashabiki wengine wenye msimamo mkali.

Kiukweli tweets zake imeonekana kuwavuruga baadhi ya mashabiki zake sababu yeye ni kioo cha jamii huku baadhi wengine wakifikia hatua ya kumuita majina ya ajabu.

Ila muigizaji huyo aliitetea hoja yake kwa nguvu zote....clip_image001[11]clip_image001[9]clip_image001[13]
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa