Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » , , , » GEORGE BUSH AANZA KAZI ILIYOMLETA TANZANIA...MATUKIO KATIKA PICHA

GEORGE BUSH AANZA KAZI ILIYOMLETA TANZANIA...MATUKIO KATIKA PICHA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Wageni wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 2, 2013 katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU 
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa