Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » ASKARI APAMBANA NA DEREVA ANAYEDAIWA KULEWA POMBE KISHA KUTAKA KUENDESGA GARI LA ABIRIA MORO.

ASKARI APAMBANA NA DEREVA ANAYEDAIWA KULEWA POMBE KISHA KUTAKA KUENDESGA GARI LA ABIRIA MORO.

Askari wa jeshi la polisi akimnasua dereva wa daladala aliye ng'ang'ania katika mshikio wa kioo cha kuangalia nyuma cha dereva katika eneo la kutokea magari ya stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa ya Morogoro baada ya dereva huyu kudaiwa kunywa pombe huku akitaka kuendesha gari la abiria Mjini-Kihonda jambo ambalo askari huyu baada ya kupata taarifa alipingana asiendeshe na kuchukua jukumu la kumpeleka kituo kikuu cha mkoa wa Morogoro
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa