Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WANAWAKE WAWILI WAVULIWA NGUO NA KUTEMBEZWA UCHI KWA MADAI YA WIZI

WANAWAKE WAWILI WAVULIWA NGUO NA KUTEMBEZWA UCHI KWA MADAI YA WIZI

Kulikuwa na kizaazaa katika eneo la transami huko embakasi hapa jijini baada ya wanawake wawili kuvuliwa nguo na kusazwa uchi wa mnyama. Kisa na maana walikamatwa kwa madai ya walitaka kumuibia mwanamume mmoja, ambaye waliandamana naye nyumbani kwake jana usiku kwa starehe. Inadaiwa walimtilia dawa- bwana huyo akalaa fofofo...aliamkia purukushani nyumbani kwake.makinika na malimwengu haya .



 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa