Mnamo mwezi 1 mwaka 2012 raper Baghdad alilazwa hospitali ya taifa muhimbili kwa kusumbuliwa na maradhi ya kisukari. Siku chache baadae alipata auheni na kuruhusiwa mwezi april mwaka 2012, mwezi wa 6 mwaka 2012 baghdad alirudishwa tena hospitali kwa kuwa alikuwa hajisikii vyema na alipopimwa sukari yake ilikuwa juu sana 29.7licha ya dawa alizokuwa akizitumia alizopatiwa hospitalini. Ilibidi kulazwa kwa kuda wa wiki mmoja ili kuchunguza nini tatizo linalopelekea sukari kutokushuka licha ya dawa anazotumia, majibu yalitoka kwa dk ilisemekana mwili wake ndio sababu iliyomfanya sukari kuwa juuu na dawa kutokufanya kazi.
Baghdad alilipokea jambo hilo lakini ilikuwa ngumu kutekeleza, mapema mwezi wa 2 tar 11 mwaka 2013 siku Baghdad huisherekea kila mwaka kama kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa aliletwa zawadi na watu wengi lakini moja kati ya zawadi alizopewa ilikuwa short sms iliyomwambia jitahidi kutafta new loock muonekano wako sio mzuri kuanzia afya mpaka muonekano, Baghdad aliamua kumfuata mama yake na kumueleza nia yake ya kupungu a na ndipo dozi ilianza baada ya siku chache zilizofata.
Dozi ilianza tar 1/03/2013 ambayo ilikuwa dozi ya miezi 3 I mean mwezi wa 3 na ilitarajiwa kuisha mwezi wa 6 ambayo matokeo ya dozi yalifauata kama ifuatavyo.
UZITO
1/03/2013 uzito wa Baghdad ulikuwa 149 kg
1/06/2013 uzito wake ulikuwa 100 kg
KIUNO/MAVAZI
1/03/2013 alikuwa anavaa suruali yenye ukubwa wa kiuno 50, shirt ama t shirt alikuwa anavaa xxxl
1/06/2013 suruali yake kwa sasa anavaa 40 na shirt ni x xl
AFYA /SUKARI
1/03/2013 vipimo vilionyesha sukari yake ni 28.9
1/06/2013 vipimo vinaonyesha ya kuwa sukari yake ni9 6.9
Vipimo vyote ni vipimo vilivyotolewa na watu professional zao,
Huu ni muonekano aliokuwa nao zamani kabla hajaumwa kisukari