
Mama mmoja ajulilikanae kwa jina la Magreth simon Nkwera ambae ni mtoto wa kwanza wa mnadhimu mkuu wa kwanza wa JWTZ Brig Gen Simon Nkwera amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji akijaribu kutekeleza jaribio la kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewe na baadhi ya ndugu zake huko Kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa kizimbani.

Mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mganga na mganga wake aitwae Yahaya tayari kwa mauwaji

Mtuhumiwa huyo akiwa ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa

Mtuhumiwa akiwa anahojiwa na mzee wa ukoo wa shirima Afisa polisi jeshi daraja la Kwanza (woii mstaafu) Joseph Shirima mara baada ya kumkamata live kwa sangoma.
CREDIT:VIJIMAMBO

