Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HUYU NDIO MTANZANIA ALIYEFARIKI BAADA YA MADAWA YA KULEVYA KUMPASUKIA TUMBONI AKIELEKEA ITALY...

HUYU NDIO MTANZANIA ALIYEFARIKI BAADA YA MADAWA YA KULEVYA KUMPASUKIA TUMBONI AKIELEKEA ITALY...

likuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti
yakamkuta huko kweli drugs noumaaa
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo)

wanawake/wasichana why?/ maana kwa sasa sisi tunashika hatamu, kweli haya majanga jamani kataeni msiwe warahisi kukubali vitu kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent situation so hicho kipindi kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu ni noma lakini hamkomi

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa