Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » HII NDIO VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMBAYO ILIAHIDIWA KUWEKWA MTANDAONI

HII NDIO VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA AMBAYO ILIAHIDIWA KUWEKWA MTANDAONI

Video hii ya saa moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo palitokea mlipuko na shambulio jioni punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba za viongozi mbalimbali



 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa