Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » WABUNGE TUNDU LISSU NA ANNE KILANGO NUSURA WAZICHAPE BUNGENI

WABUNGE TUNDU LISSU NA ANNE KILANGO NUSURA WAZICHAPE BUNGENI


Baada ya Bunge kuahirishwa jana, nje ya ukumbi hali haikuwa nzuri baina ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.

Mtafaruku huo uliibuka baada ya Kilango kusikika akimtuhumu Lissu kwa uchochezi, akisema kwamba amekuwa mbunge pekee anayeongoza kwa vurugu.

 
Maneno hayo hayakumfurahisha Lissu ambaye alishindwa kuvumilia na kumgeukia Kilango kwa nguvu huku baadhi ya wabunge wakishuhudia na wengine wakimzuia Lissu.
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa