Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIDEO YA MWANAMKE ALIYEMUUA MUMEWE KWA KUMWAGIA MAJI YA MOTO

VIDEO YA MWANAMKE ALIYEMUUA MUMEWE KWA KUMWAGIA MAJI YA MOTO

Mwanamume mmoja mjini mombasa amefariki kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na mgogoro wa kinyumbani kati yake na mkewe. 

Inadaiwa marehemu alimwagiwa maji moto na mkewe siku chache zilizopita hali ambayo imepelekea kifo chake.

 Ilibidi polisi kuingilia kati kumnusuru mama huyo dhidi ya hasira za umati uliotaka kumshambulia na  kumuua..

VIDEO

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa