Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » UNAJUA KWANINI WOLPER ANATUMIA JINA LA “WOLPER GAMBE” SOMA HAPA

UNAJUA KWANINI WOLPER ANATUMIA JINA LA “WOLPER GAMBE” SOMA HAPA

Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii…so called Amber-Rose lakini si tunamjua  as Jacklyne Wolper, pande hizo anajiita Wolper Gambe. Jina limetoka la Wolper Gambe limetoka wapi? Gambe maana yake si pombe kama bia na vitu vingi vingine, hiyo ndiyo iliwappa watu kadhaa hamu ya kujua kwanini anajiita hivyo baada ya kuona hadi ndinga yake kaitupia jina hilo kwa upande wa nyuma. Wolper huyu hapa anafunguka kuhusu hilo jina,”Mwanzo watu walibadirisha wimbo wa yule mkorea PSY..ukimsikiliza anavyoimba inasikika Opa gangnam style, ikabadilishwa na kuwa Wolper gangnam style kwasababu ina sound sawasawa. Lakini baadae wakabadilisha zaidi na kuimba Wolper gambe style unajua jinsi neno gambe lilivyo maarufu na raisi kulitumia hapo lina sound poa. Sasa wimbo ulivyoanza ku-kick zaidi ndiyo na jina likawa  kubwa zaidi,”
WOLPER GAMBE STYLE
Kinyumbani nyumbani tushazoea kupeana majina kutokana na tabia au vitu vyetu..mfano Hamisi chizi,Mwajuma ndalandefu…sasa unaonajeo  kwa Wolper. Unadhani mwanadada ni mtu wa mtungi a.k.a Gambe kwa sana ndiyo maana hilo jina likaja. Zaidi huyu hapa Wolper Gambe mwenye akizungumzia jina lake hilo na akiimba Gangnam Style ya jina lake


 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa