Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » TAARIFA YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA MITIHANI KUSAHISHWA TENA UPYA

TAARIFA YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA MITIHANI KUSAHISHWA TENA UPYA





TAARIFA FUPI KUTOKA BUNGENI DODOMA MUDA HUU ZINASEMA KUWA WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA KURUDIWA UPYA KWA USAHISHAJI WA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2012,HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUPATA DARAJA SIFURI HUKU WANAFUNZI WACHACHE KUPITA KATIKA HUO MTIHANI ULIFANYIKA OCTBER MWAKA JANA,PIA WAZIRI LUKUVI AMESITISHA AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU AMBAVYO AWALI VILITANGAZWA NA KUANZA KUTUMIKA MASHULENI .
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa