Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA TANO ZA VIDEO YA TUKIO LA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOKUWA WAKIDONDOSHWA NA MAPEPO JANA

PICHA TANO ZA VIDEO YA TUKIO LA WANAFUNZI WA MANZESE WALIOKUWA WAKIDONDOSHWA NA MAPEPO JANA


Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manzese iliyopo Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam wamevamiwa na mashetani na kuanguka hovyo darasani huku wakipiga kelele na kuongea maneno yasiyoeleweka na kusababisha hofu kutanda maeneo hayo.






Tukio hilo limetokea kuanzia saa nne asubuhi ambapo alianza mwanafunzi mmoja kupiga kelele na kuanguka wakati wakiendelea na masomo ambapo alitolewa nje ya darasa lakini cha kushangaza waliendelea kuanguka wengine wengi huku wakipiga kelele na kupigana kama vichaa.

 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa