Pata Habari Motomoto kwa kuandika E-mail yako hapo chini.


Home » » P-FUNK MAJANI AMUUNGA MKONO LADY JAY DEE KWA KUWAPONDA CLOUDS FM

P-FUNK MAJANI AMUUNGA MKONO LADY JAY DEE KWA KUWAPONDA CLOUDS FM

Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.

Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.

Hii ni Tweet Ya P-Funk Majani za May 4:

@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!
 

Copyright © 2009. MCHAMBUZI - Haki zote zimehifadhiwa