Mambo vipi ...!!
Kuna kitu kunaniumiza sana akilini.....Kinaniumiza kwa sababu kila nikifikiria huwa sipati jibu.
Kitu chenyewe ni hii staili mpya ya UWEKAJI WA MDOMO kwa dada zetu wakati wa kupiga picha......
Hiyo staili yao ya "mdomo" humaanisha nini???....Je ni "Tusi" flan au ni "fasheni" tu
Kwa kweli ni kitu kinachonitatiza....Utakuta dada ni mzuri.... nikiwa na maana kwamba ni kifaa, lakini naye Kauvuta mdomo, pembeni kidogo kaupanua ,alafu kaunyonga....Nadhani kuna maana flani iliyojificha
Nimeileta maada hii nikiwa na imani kuwa wasomaji wenzangu hasa akina dada watanipanua kimawazo na kunijuza zaidi....
Mdau wenu,
Mwanza.