Hi guyz naitwa stamili abel ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba wa kuishinae muda mrefu sibagui kabila ila awe mrefu kidogo na mweupe kidogo, pia awe na elimu angalau ya form 4 pia awe na umri miaka 19-24 na awe mkristo.
Namba yangu ya simu ni 0757958653
Email address yanguni: stamilimkemia@gmail.com.
Au anicheki kupitia Facebook Jina nalotumia ni stamili abel
Kama na wewe unatafuta mchumba au mpenzi usisite kututumia kupita e-mail yetu ya vitukovyamtaa@gmail.com...au tuinbox kwenye facebook kupitia jina la Vituko vya mtaa..

